Jarida la Februari 2009

imprimer envoyer a un ami
Partager, Share, Compartir

Katika jarida hili, tutawapatia taarifa kuhusu mradi tulioanzaisha wiki chache zilizopita, inayohusu ugumu wa kupata elimu ya msingi kwa baadhi ya familia.

Hatahivyo unajua kwamba huwa tunaanza jarida letu kwa ushuhuda wa raia wetu anayejitoa kupambana na umaskilni. Leo Lusekelo Nelson Mwandemange ambaye ni mwanafunzi wa Dar es Salaam ametufafanulia jinsi gani yeye na rafiki zake alivyokataa kwamba baadhi ya wanafunzi wanalazimika kuaacha masomo yao kwasababu ya ukosefu wa ela.

documents


PDF - 331.6 ko
photo

Wherever men and women are condemned to live in extreme poverty, human rights are violated.
To come together to ensure that these rights be respected is our solemn duty.

Joseph Wresinski

logo facebook