Nenda shule

Shuhuda mbalimbali za wazazi, walezi, na mabibi na mababu wanaoishi katika hali duni kabisa ya umaskini
uliokithiri zinazohusu vikwazo vinavyopelekea watoto wao kuweza kwenda kuhudhuria shule za Msingi
1989 - 2009 : Maadhimisho ya miaka 20 ya mabadiliko ya sheria za haki za watoto
Rejea Kifungu no 28
1. Kinachoelezea sehemu zinazothamini haki ya elimu kwa mtoto, pamoja na mtazamo wa kufikia malengoendelevu ya fursa sawa katika maeneo ya fuatayo.
- (a) Kufanya elimu ya msingi kuwa ni ya lazima na bure kwa wote; (…)
- (e) Kupima na kutia moyo mahudhurio mazuri katika mashule na upunguzaji wa idadi ya watoto wanaokatisha masomo. (…)






