Jarida la Septemba 2009

Kama unavyojua Oktoba 17 siku ya kuushinda umaskini uliokithiri duniani inakaribia. Kwa hiyo katika jarida hili tunaongelea zaidi kuhusu hili tukio na maandalizi yake. Kama kawaida tunaanza na shuhuda za baadhi ya marafiki. Wakati huu wanatuelezea kwa nini ni muhumu kwa wao kusherehekea Oktoba 17.





