Katika jarida la mwisho la mwezi wa Sita, tulizungumzia kuhusu adhimisho la Siku ya kimataifa ya kuutokomeza umaskini, Oktoba 17 ijayo. Leo tunataka tuwe thabiti zaidi labda kuwasaidia wale wenye hofu kidogo ya kuandaa tukio.
Wherever men and women are condemned to live in extreme poverty, human rights are violated.
To come together to ensure that these rights be respected is our solemn duty.