Jarida la Septemba 2007

Wanaume wengi, wanawake na watoto, dunia nzima wanajihisi hawatambiliwi na wametengwa. Watu wengi katika hii dunia siku zote hukumbana na hali isiyovumilika:
"Njaa, ujinga na vurugu zote-siwezi kuzisimamia hata kidogo."
MWITO KWA VITENDO…






