Jarida la Oktoba 2007

Umesaini mwito kwa vitendo kama walivyosaini maelfu ya watu wengine kutoka pande zote duniani. Hizi sahihi zote zitawasilishwa mapema Umoja wa Mataifa. Tunakutumia utepe ambao utauvaa kuonyesha ushupavu wako na kuzungumza kuhusiana na huo utepe.






