Jarida la Novemba 2010

Kama ujuavyo kwamba tuko katika mwaka wa kimataifa wa vijana, tungependa kukutaarifu kuhusu moja ya matukio yaliyo andaliwa na ATD hapa Afrika ili kuadhimisha mwaka huu, kutafanyika mkusanyiko unaowahusisha vijana wanaopambana na umaskini uliokithiri utakaofanyika huko Bangui (Jamhuri ya Afrika ya kati) mwanzoni mwa mwezi Januari mwaka 2011 na baadhi ya vijana kutoka Dar es Salaam watashiriki…





