Jarida la Juni 2010

Katika kijarida hiki, tungependa kuangalia suala la uhusika binafsi katika kujitolea :
Kwanini ni muhimu ? Kwanini ni vigumu ?
Kwa hali hiyo, tutaanza kushiriki pamoja nawe ushuhuda kuhusu mshikamano, ushuhuda ambao ulitolewa na Jules, rafiki kutoka Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo ambaye alikuwako hapa Dar e Salaam wiki chache zilizopita.






