Jarida la Januari 2008

Eugen Brand (Mwakilishi mkuu wa Ushirikiano wa Kimataifa wa ATD Dunia ya Nne) alitukumbusha sisi kwamba, miaka ishiri 20 iliyopita, kwa mara ya kwanza mwito kwa vitendo ulichongwa kwenye jiwe la kumbukumbu na "historia ya walio maskini sana iliandikwa katika historia ya ubinadamu".






