Kiswahili

Jarida la Februari 2010
Kwa mara nyingine tena, wiki 5 zilizopita Haiti ilikuwa ikiboreka katika kuelekea mafanikio ya baadaye kwa watu wake. Tunawajua watu wa Haiti na wanatakiwa kuwa ni mfano wa kuigwa na dunia. Ushujaa, busara na umoja wao ni imara kuliko matatizo na majanga yanayo ikumba na kuathiri nchi yao.Jarida la Desemba 2009
Ndani ya kijarida hiki, tutaongelea kuhusu matatizo, yanayozikuta baadhi ya familia zilizo masikini sana, katika uandikishaji wa vyeti vya kuzaliwa.
Hata hivyo, tutaanza na ujumbe uliotolewa na watoto waliokusanyika kwenye mkutano wa Dunia wa watoto, uliotayarishwa na ATD Dunia ya Nne huko Ouagadougou, mnamo tarehe 20 ya Novemba 2009, kwa ajili ya kuadhimisha miaka 20 tangu kupitishwa kwa azimio la Kimataifa la haki za watoto duniani.








